Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nikiangalia TBC hua napata ndoto mbaya mbaya sijui kwa nini?Badala utazame news za TBC saa 3 unaangalia za Citizen TV...kweli GDP ya Kenya sio ya makaratasi [emoji6]
State television huwa hazivutii sijui ni kwa kuwa haina mpinzani.Nikiangalia TBC hua napata ndoto mbaya mbaya sijui kwa nini?
Badala utazame news za TBC saa 3 unaangalia za Citizen TV...kweli GDP ya Kenya sio ya makaratasi [emoji6]
Ni utopolo kwa kwenda mbele.Hivi huko kuna ma engineer au kuna utopolo?
Ni kawaida maghorofa kubomoka na kuanguka huko KenyaPoleni mashemeji.
Wamezidi rushwa hawa nyang'au.Ni kawaida maghorofa kubomoka na kuanguka huko Kenya
Wanachanganya udongo na cement wakati wa kujenga
Halafu Mkandarasi Mkuu ni Mwala
Dawa ni kuacha ufisadi tu Sasa hivi mambo ya kubeba Pesa kwenye rumbesa hayapo tena.Nikiangalia TBC hua napata ndoto mbaya mbaya sijui kwa nini?
Hata uwezo wao wa akili pia ni mdogo sana, hilo ndio tatizo kubwa zaidi kuliko rushwa, hawa jamaa vichwani hamna kitu kabisaWamezidi rushwa hawa nyang'au.
Tumeshawazoea hao kuhusu majumba kuanguka na watu kufa ni jambo la kawaida sana, kwanza nilitaka kuuliza inakuaje tunamaliza miezi miwili bila kusikia jumba limedondoka Kenya?
Siku likitokea tetemeko Kenya ndiyo ukweli ambao watz tumekuwa tunausema kuhusu Kenya utajulikana maana Nairobi majengo yatokayo baki yamesimama baada ya tetemeko ni majengo ya MABEBERU TUState television huwa hazivutii sijui ni kwa kuwa haina mpinzani.
Tetemeko likitokea nairobi majengo yatakayo baki yamesimama ni ya mabeberu tuTumeshawazoea hao kuhusu majumba kuanguka na watu kufa ni jambo la kawaida sana, kwanza nilitaka kuuliza inakuaje tunamaliza miezi miwili bila kusikia jumba limedondoka Kenya?
Badala utazame news za TBC saa 3 unaangalia za Citizen TV...kweli GDP ya Kenya sio ya makaratasi [emoji6]
Sifuatilii tv stations Uchwara za Hapa Bongo.Atawewe badala ya kufuata mambo yako unafuata ya wafuataji kha kaimbe taarabu tu
Weew mbona BBC inavutia, sema za africa azina ubunifu na zinaongozwa na matakwa ya waliopo madarakan sana badala ya kuangalia soko linaitaji nnState television huwa hazivutii sijui ni kwa kuwa haina mpinzani.
HeheeNi kawaida maghorofa kubomoka na kuanguka huko Kenya
Wanachanganya udongo na cement wakati wa kujenga
Halafu Mkandarasi Mkuu ni Mwala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikiangalia TBC hua napata ndoto mbaya mbaya sijui kwa nini?