Ghorofa laporomoka Kericho

Ghorofa laporomoka Kericho

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
32,246
Reaction score
31,176
Poleni mashemeji. Corona, nzige, mafuriko, kipindupindu na sasa majengo nayo yanaanza kuporomoka duh.

=======
Rescue operations are underway in Kericho town after a four- storey building collapsed. The building named teds is said to have sank trapping more than 100 tenants inside. The building is said to have 70 rental houses. Rescue team is combing through the rubble to try and save lives of those trapped.

 
Tumeshawazoea hao kuhusu majumba kuanguka na watu kufa ni jambo la kawaida sana, kwanza nilitaka kuuliza inakuaje tunamaliza miezi miwili bila kusikia jumba limedondoka Kenya?
State television huwa hazivutii sijui ni kwa kuwa haina mpinzani.
Siku likitokea tetemeko Kenya ndiyo ukweli ambao watz tumekuwa tunausema kuhusu Kenya utajulikana maana Nairobi majengo yatokayo baki yamesimama baada ya tetemeko ni majengo ya MABEBERU TU
 
Back
Top Bottom