Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kama sisi wajinga mbona tumewazidi kwenye uchumi?Hata uwezo wao wa akili pia ni mdogo sana, hilo ndio tatizo kubwa zaidi kuliko rushwa, hawa jamaa vichwani hamna kitu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sisi wajinga mbona tumewazidi kwenye uchumi?Hata uwezo wao wa akili pia ni mdogo sana, hilo ndio tatizo kubwa zaidi kuliko rushwa, hawa jamaa vichwani hamna kitu kabisa
😂 😂 😂 😂 😂Badala utazame news za TBC saa 3 unaangalia za Citizen TV...kweli GDP ya Kenya sio ya makaratasi 😉
Kumbe unaomba nairobi ipotee kwnye ramani🤣🤣🤣Siku likitokea tetemeko Kenya ndiyo ukweli ambao watz tumekuwa tunausema kuhusu Kenya utajulikana maana Nairobi majengo yatokayo baki yamesimama baada ya tetemeko ni majengo ya MABEBERU TU
Trapped more than 100 tenants
50% of buildings in Nairobi are not fit for human habitation. A study revealed.
So we have to wait until that 50% finished to carnage the people.