House4Sale Ghorofa linauzwa-Mbezi beach (Jogoo)

House4Sale Ghorofa linauzwa-Mbezi beach (Jogoo)

Nakukunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
876
Reaction score
1,643
Liko Mbezi Beach-Jogoo ( mita 700 kutoka barabara kubwa).

Vyumba vitano vya kulala ikiwemo master bed room na baby room,sebule,dining,jiko na store

Nyumba ina nyaraka zote muhimu

Bei ni Million 600(maelewano yapo). Mwenye kuhitaji ani Pm nimpe namba ya muuzaji na sio dalali (my Brother).

Karibuni sana
 

Attachments

  • IMG-20171123-WA0060.jpeg
    IMG-20171123-WA0060.jpeg
    104.8 KB · Views: 113
  • IMG-20171123-WA0061.jpeg
    IMG-20171123-WA0061.jpeg
    100.1 KB · Views: 94
  • IMG-20171123-WA0059.jpeg
    IMG-20171123-WA0059.jpeg
    62.9 KB · Views: 88
Hivi we mleta mada hiyo bei ndiyo uloambiwa uitangaze au umejitungia??? Nyumba haijaisha mil 600 ......pole kwa usawa huu wa baba Nani Sijui huuzi
 
Mkuu rejea magorofa ya lugumi kisha angalia bei walizokuwa wanaanza nazo asingekuwa dr. Shika zile clasic hkuse zingeishia thaman ya milion 3 au 400,
Sasa hii yako ni kama jiko la kwenye zile nyumba!
Usipanik mkuu nimechomekea tu.
 
magu hajaipitia kweli maana tusije laumiana baadae
 
Hiyo nyumba thamani yake mpk hapo ilipofikia haijafika milioni 120. Tuchukulie kiwanja ni milioni 30 na ukiweka na faida milioni 15 inatakiwa kuuzwa labda milioni 165 na si Zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom