Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Jogoo upande wa Kerai au upande wa Juliana. Maeneo ya chini kuna maji hatari na mvua zilizoisha utajiabisha wateja wenye ufahamu wakitembelea watona jinsi kulivyo bakuli la maji huko. Hapo umeuza sana ndugu ni 120 milioni.