Ghorofa mbili hadi sasa zipo tupu Stendi ya Magufuli

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

​


Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
 
Kwahiyo unalalamika ili Magufuli afufuke aje kuweka mipango mizuri ya kuzitumia hizo Gorofa!!

Wewe ni Kalio
 
Kwahiyo unalalamika ili Magufuli afufuke aje kuweka mipango mizuri ya kuzitumia hizo Gorofa!!

Wewe ni Kalio
Mipango mizuri ipi wakati alishaharibu? Hakuna Cha Mpango mzuri ndio maana nimesema Serikali iache kujenga Majengo ya gorofa kwenye stendi.

Kazi ya stendi ni kushusha na kupakia,majengo ya gorofa ya mabilioni ni ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…