Ghorofa mbili hadi sasa zipo tupu Stendi ya Magufuli

Ghorofa mbili hadi sasa zipo tupu Stendi ya Magufuli

Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.



Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Tunaihujumu hili tupate sababu za kuwapatia wazanzibar na waarabu kwa kisingizio cha miradi mibovu ...sasa hivi utasikia Baresa au Rostam au muarabu kwa kuisingizio cha ppp
 
Nyie timu Mama mmekwamisha miradi mingi mkidhani mnamkomoa hayati. sGR inasua sua. Saiv ingekua ishafika hadi kanda ya ziwa. Tatizo ushamba mkuu maghorofa zinapangishwa ofisi, supermarkets,maduka makubwa. Chawa wa Mama mnaweka kauzibe ili mje mlalamike mitandaoni
Stendi hata fremu ziwe Bure unauza nini? Haya wanaomiliki hii stendi wao Wameshindwa kutafuta akili za kutumia?
 
Nyie timu Mama mmekwamisha miradi mingi mkidhani mnamkomoa hayati. sGR inasua sua. Saiv ingekua ishafika hadi kanda ya ziwa. Tatizo ushamba mkuu maghorofa zinapangishwa ofisi, supermarkets,maduka makubwa. Chawa wa Mama mnaweka kauzibe ili mje mlalamike mitandaoni
Kama alishindwa km 200 za Dar-Moro hiyo ya Mwanza ingefika Kwa hela zipi alizokuwa nazo?

Kwanza Sgr ni mojawapo ya miradi ya hovyo na hasara Kwa Nchi.
 
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.



Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Yule mzee alkuwa na matatizo upstairs
 
Hii ni nchi unafikiri baada ya miaka kumi watu watakuwa na akili kama za kwako. Shida ndiyo hiyo tunaplan kwa kuangalia leo! Ndiyo maana sisi kila mwaka ni kubomoa na kujenga!
 
Serikali ya hovyo sana hii, stand binafsi zipo shekilango, kila basi lina stand yake na mamlaka hazijali hata kidogo. Unategemea Magufuli stand itakuwa na watu?

Halafu do you think plans ni za miaka mitano kama maccm mnavyofanya, ile stand itakuwepo for 100yrs to come na haitakuwa congested coz the plan and execution was second to none!
Futseke zako!!
 
Hawa Makerubi Ya CCM Ni Bure Kabisa
Leo Unaongea Nini Na Mnajifanya Mna Msimamo Kusifia Lolote
 
download.jpeg

Hata hili linakuja kuwa hasara tu
 
Hizo ulizotaja alifariki zikiwa kwenye kasi ya ujenzi na hakushindwa aliyeshindwa ni bi chura. Hadi daraja la busisi limemshinda

Pole kwa maumivu
33% ndio Kasi? 😆😆

Mtu ambae hata chanjo za Watoto zilimshinda ndio angeweza nini?

Wafanyabiashara walimkimbia angepata wapi hela? 🤣🤣

Au umesikia vyuma vimekaza awamu ya Mama?
 
Back
Top Bottom