Kwa hiyo huyu mama yako anaendeleza u hovyo?Kama alishindwa km 200 za Dar-Moro hiyo ya Mwanza ingefika Kwa hela zipi alizokuwa nazo?
Kwanza Sgr ni mojawapo ya miradi ya hovyo na hasara Kwa Nchi.
Ndiyo maana wale wajinga wawili walisema mabasi yashushe abiria hapo wale chakula cha mama ntilie kwa lazimaHii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Stendi ya Songea kule shule ya tanga imejengwa awamu ya 5, tangu 2019 ilikua inatumika ingawa ipo mbali na mjini kwahiyo acha kudanganya watu.Nzega
Songea
Katesh
Na zingine zaidi ya 10 zinaendelea na ujenzi Mbeya,Kahama,Tabora nk
Hana tech skills kabisa ndiyo maana wanamzungukaKwa hiyo huyu mama yako anaendeleza u hovyo?
Mbona mwendo kasi tu unamshinda
Huyo jinga kazi yake kumshambulia JPMStendi ya Songea kule shule ya tanga imejengwa awamu ya 5, tangu 2019 ilikua inatumika ingawa ipo mbali na mjini kwahiyo acha kudanganya watu.
Jamaa anaongea kimihemko tu hana hoja za msingi,,,yuko too personal,,jiji la dsm kwa miaka 10 na kuendelea haitakua km leo stand inatija kubwa sana iyo,,,,watu wameweka stand binafsi unategemea positive impact how com angekuepo mwenye stand yake shekilango pangesafishika,, hana tija huyo, yeye aseme ana mu attack magu personal lakin sio projects zake ambazo zimelenga future ya vizazi na maendeleo yajayoSerikali ya hovyo sana hii, stand binafsi zipo shekilango, kila basi lina stand yake na mamlaka hazijali hata kidogo. Unategemea Magufuli stand itakuwa na watu?
Halafu do you think plans ni za miaka mitano kama maccm mnavyofanya, ile stand itakuwepo for 100yrs to come na haitakuwa congested coz the plan and execution was second to none!
Futseke zako!!
Achana na hilo taahira la chura kiziwi.Kati ya serikali na wewe nani ana akili?
Punguza ujuaji
Kwa mfano Udom mlitaka ijengwe mjini,leo hii wananchi wameikaribia miaka hio ilionekana ipo porini sana
Serikali inafanya project zake kwa kuangalia miaka 10,20 ijayo sio miezi 6
Nimemshangaa sana alivyosema stendi ya Songea imejengwa awamu ya mama kizimkazi wakati watu tumeishi kule wakati wa awamu ya 5 na stendi tumeitumia. Hii inafanya nishindwe kua na imani na comment zake sasa.Huyo jinga kazi yake kumshambulia JPM
Jamaa sidhani kama akili yake iko sawa. Hana vision,,,,you too personal hana hojaKati ya serikali na wewe nani ana akili?
Punguza ujuaji
Kwa mfano Udom mlitaka ijengwe mjini,leo hii wananchi wameikaribia miaka hio ilionekana ipo porini sana
Serikali inafanya project zake kwa kuangalia miaka 10,20 ijayo sio miezi 6
Precisely, soko jipya la ubungo(kwa maoni ya mleta mada) lijengwe tu kama mabanda ya kufugia kuku. Mleta mada ni product ya watu waliokosa exposure hivyo anataka mambo yafanywe kizamani. Anataka mipango ya 5-10yrs.Itajaa tu muda ukifika! Real estate siyo biashara ya mapapai,waulize mifuko ya hifadhi ya jamii (PSSSF&NSSF) au NHC!
Rocky City Mall yenyewe mpaka tulianza kushauri wafugie hata kuku huko juu,same na kitakachotokea "Kariakoo mpya" ya Ubungo.
ChoiceVariable 😂😂😂😂Kwahiyo unalalamika ili Magufuli afufuke aje kuweka mipango mizuri ya kuzitumia hizo Gorofa!!
Wewe ni Kalio
Hapa tusimulaum Jiwe bali ni usimamizi mbovu wa hizi stend.Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Huwezi kuona umuhimu wake kwa sasaHii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Mkuu wewe una uzoefu kwenye biashara zipi? Kwa gharama zilizotumika kujenga sgr unazan faida ilipaswa kuingia kuanzia mda gani?Mamiradi mengi ya awamu ya 5 yalikuwa hayana maana ndio maana mengi ni hasara tupu kuanzia ndege,Sgr Hadi stendi.
Ngoja tuwape wachina wamachinga muanze kulalamikaPale hakuna abiria wengi wanaolala, hivyo kama kule juu kuliandaliwa kwa ajili ya malazi, usitegemee watu kuwekeza kusiko na faida
Hii ndio point,mtoa mada amekuwa kama chawa,anashindwa kuhoji sababu ya hasara anakimbilia kusimanga miradi ya awamu flan ili aliyepo aonekane ndio bora zaidHapa tusimulaum Jiwe bali ni usimamizi mbovu wa hizi stend.
Makampuni yote ya mabasi yanapakilia abiria kwenye vituo vyao binafsi, stand zinapita kulipia ushuru zinasepa.
Yale mahesab ya abiria watakuwa stand biashara itailamilika hayapo tena.
Unakuta kampuni kwenye ofisi zake haina waiting lounge abiria mnalazimika kuzunguka zunguka mkisubiri basi lifike, ni usumbufu kwa abiria, sema ndo hivyo tena hii nchi kambale wamekuwa wengi.