Serikali ikitaka vitega uchumi ishirikishe wananchi kwanaza, haya mambo wanayofanya kwa muonekano wa nje mtaona wanafanya kweli, ukichunguza kwa ndani kuna upigaji wa kufa mtu.
Binafsi ukiniuliza serikali iwekeze wapi ningesema iwekeze kwenye Pombe za aina zote, ijenge Bar za kutosha, guest house za kutosha za bei rahisi, Iruhusu wanyama pori waliwe kwenye bar zote.
Na mwisho tulime Bangi tuuziane ndani na tuuze nje kwa wenye uhitaji kama Marekani na nchi zilizoruhusu bangi kuvutwa kwa starehe na matumizi mengine ya kiafya
Nchi hii itakuwa tajiri sana.
Stand kitu cha mtu anapita kwenda na kutoka, unawekeza jengo lote hilo la nini?