Ghorofa mbili hadi sasa zipo tupu Stendi ya Magufuli

Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Mimi nashauri serikali isiweke majengo iliyojenga kwa gharama kubwa chini ya manispaa mwanashindwa juyaangalia na kukularabati..
Wangeunda taasisi inayosimamia majengo ya kimkakati kama masoko na hizi stand mpya mambo yangekuwa safi..
 
Na sasa chawa unavyopuyanga. Hao unaowasema si ndo wakimbia kodi wakubwa

Bi chura akawabembeleza kwa kula ila wasivuke urefu wa kamba. Si ndo zama za mafisadi awamu hii kiongozi wao yeye
33% ndio Kasi? 😆😆

Mtu ambae hata chanjo za Watoto zilimshinda ndio angeweza nini?

Wafanyabiashara walimkimbia angepata wapi hela? 🤣🤣

Au umesikia vyuma vimekaza awamu ya Mama?
 
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Serikali haikurupuki,Miradi sio lazima ioneshe matokeo sasa ya pesa,hata wananchi kuondolewa usumbufu wa stand za ajabu ajabu ni faida

Faida kwa serikali sio upande wa pesa tu
 
Kuna faida ipi ikiwa majengo hayatumiki na yanazidi kuharibika?

Hiyo faida itakuja lini wakati utahitaji gharama upya ya renovation? Kulikiwa na haja gani ya kujenga Majengo ambayo hayatatumika Kwa miaka mingi?

Akili za hovyo na za wajinga walioshika madaraka.
 
Akili za kijinga kama hizi ndio zimetufikiaha hapa.

Aliyekwambia stendi inatanua Mji ni nani? Pande zote unazoona Miji inajengwa Kuna stendi?
Kati ya serikali na wewe nani ana akili?
Punguza ujuaji
Kwa mfano Udom mlitaka ijengwe mjini,leo hii wananchi wameikaribia miaka hio ilionekana ipo porini sana

Serikali inafanya project zake kwa kuangalia miaka 10,20 ijayo sio miezi 6
 
Kuna faida ipi ikiwa majengo hayatumiki na yanazidi kuharibika?

Hiyo faida itakuja lini wakati utahitaji gharama upya ya renovation? Kulikiwa na haja gani ya kujenga Majengo ambayo hayatatumika Kwa miaka mingi?

Akili za hovyo na za wajinga walioshika madaraka.
Serikali inawekeza kutoa social services kwa wananchi sio kufanya biashara ili kupata faida
 
Kazi ya msingi ya mahali hapo ni stendi, na sio kituo cha wamachinga na wapanga fremu...
 
Serikali inatoa huduma haiangalii faida brother hata pesa zake na mafungu ya makusanyo wanaita cost sharing
 
Yale ni maono ya mbali!...

Subiri baada ya miaka 10 kote huko watu watajaa
Wanataka stendi ijae wakati hata majengo tu hapo mjini hayana watu! TPA towe,NSSSF Tower na majengo mengine hayana wapangaji!
Business sio rahisi hivyo na changamoto za usimamizi pia kuwa duni!
 
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Ni mtu mjinga tu anayepinga miradi unataka mambo yawe kama awamu hii watu wanapiga pesa ovyoovyo.
 
Mkuu mbona kama unaonekana uko too personal sana,,,? Naona una attack mtu,,kwann usijenge hoja nzuri tu,,,,au ndio mitano tena mkuu
Ndio hasara ya kuwa na mtu asiyeshaurika na asieleqa uchumi,mwenye mihemko,mpenda sifa na mkurupukaji.

Kiufupi maamuzi yake yataitesa sana hii Nchi Kwa miaka Mingi.

Shida za ajira mnazoona Sasa msingi wake ni awamu
 
Back
Top Bottom