Gia kutobadilika ipo P , inashuka tu Gari Noah

Gia kutobadilika ipo P , inashuka tu Gari Noah

Nilipatia ufumbuzi asubuhii fundi alikuja akaata kajiwaya kagumu Ka funguo akafunua dashboard akafunga dk 3, alichonambia ni lock ilikatika ikachomoka, napiga gia na makinikia yangu kama kawawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom