GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Mkuu alikua Katibu wa UEFA sio FIFAJamaa alikuwa katibu wa fifa wakati wa blatter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu alikua Katibu wa UEFA sio FIFAJamaa alikuwa katibu wa fifa wakati wa blatter
Uongo gani? Mi namuongelea huyo mwarabu, mleta uzi kasema kapata kura 88 sasa wewe povu linakutoka la nini? Kama ni uongo muulize yeye!Acha uongo mtu kashinda kwa kura zaid ya 100 look out
Na watupe sababu za kumuunga mgombea tuzifahamu.. Sio kutunisha pochi zao na kutuburuzaHongera zake na ni matumaini yetu pia rais wetu Jamal Malinzi atakaporudi basi atatupa mrejesho wa kilichojiri maana walituambia CAF walikua wakimuunga mkono yule mwana mfalme wa Jordan! sasa kulikoni ameangukia pua! au kwa kuwa hiyo fifa ni ya wazungu wenyewe?
Kama caf walikua wanamuunga mkono uyo mfalme wa Jordan basi bora tu alivokosa maana ukiona viongozi wa Africa wanakupenda ujue wewe ni mtoa rushwa. Hata blatter alipendwa sana na viongozi wa Africa.Hongera zake na ni matumaini yetu pia rais wetu Jamal Malinzi atakaporudi basi atatupa mrejesho wa kilichojiri maana walituambia CAF walikua wakimuunga mkono yule mwana mfalme wa Jordan! sasa kulikoni ameangukia pua! au kwa kuwa hiyo fifa ni ya wazungu wenyewe?
Kama caf walikua wanamuunga mkono uyo mfalme wa Jordan basi bora tu alivokosa maana ukiona viongozi wa Africa wanakupenda ujue wewe ni mtoa rushwa. Hata blatter alipendwa sana na viongozi wa Africa.
Kuongezeka kwa timu ni jitihada zetu wenyewe. Kila bara likiwa linafanya vizuri kwenye mashindano huwa lina pewa point na kuongezewa timu so hata bila blatter tungepata nafasi ya kua na tim 5........ Na pesa alizoongeza nyingi ziliishia mifukoni kwa viongozi ndo mana nilisema vyama vya africa vilimpenda blatter. Kwangu blatter alichotusaidia kikubwa zaidi ni kutupigia debe tupate ku host kombe la dunia na yeye mwenyewe wakat anaingia madarakani aliahidi ataleta world cup Africa. Kwa hili nimemkubaliblatter japo ana mambo yake ila katusaidia sana Africa tutamkumbuka.
1. katuongezea ushiriki wa kombe la dunia toka timu nne hadi 5 na kuwapunguzia ulaya kama sijakosea.
2.ameongeza malipo kwa vyama vyetu last time walipewa kama usd 1.3m roughly ni kama bilioni 2.5 mpaka 3 na hii ilikuwa ni mwaka 2014. na haya malipo ni flat kabla ya bonus hivyo haijalishi mnatoka wapi
One-off FIFA payments to Associations total $1.3 million each
mafanikio gani tuliyoyapata africa? sababu kila mwaka mwisho ni robo na haiendi timu zaidi ya moja wengine wanaishia makundi. na last time hata robo hatujafika. tumepewa tu ile nafasi bila mafanikioKuongezeka kwa timu ni jitihada zetu wenyewe. Kila bara likiwa linafanya vizuri kwenye mashindano huwa lina pewa point na kuongezewa timu so hata bila blatter tungepata nafasi ya kua na tim 5........ Na pesa alizoongeza nyingi ziliishia mifukoni kwa viongozi ndo mana nilisema vyama vya africa vilimpenda blatter. Kwangu blatter alichotusaidia kikubwa zaidi ni kutupigia debe tupate ku host kombe la dunia na yeye mwenyewe wakat anaingia madarakani aliahidi ataleta world cup Africa. Kwa hili nimemkubali
Sina uhakika sana ila nnavyojua mpira unaendeshwa kwa sheria hiyo. Yawezekana tulipewa tu ila ukweli ni kwamba hiyo nafas moja haijatusaidia chochote. Katika miaka kumi iliopita africa tunazidi kurudi nyuma kisoka, izo nafasi hata tungepewa 10 bado tusingefika nusu fainal maana hizo 5 zilizoingia ndio zenye afadhali sasa haina haja kuongeza nafasi kwa bara ambalo lipo nyuma kisoka. Naweza kusema blatter alikua na nia njema kutusaidia ila ali feli maana kwenye uongozi wake tim za africa azijafanya la maana. Ndo kwanzaa tumepitwa hata na bara la asia kisokamafanikio gani tuliyoyapata africa? sababu kila mwaka mwisho ni robo na haiendi timu zaidi ya moja wengine wanaishia makundi. na last time hata robo hatujafika. tumepewa tu ile nafasi bila mafanikio
Kwa maelezo yako haya, ngoja tuone yatakayoendelea huko FIFA!Ilikuwa hakuna namna, Infantino kafanya vizuri sana pale Uefa kwa kipindi cha miaka saba aliyokuwa Katibu Mkuu. Wazungu hata iweje wasingeweza kumpa muarabu kuwa Rais wa Fifa. Ila huyu jamaa ambaye ana uraia wa nchi mbili za Italia na Uswisi ni smart sana, mwanasheria na umri wake wa miaka 45 ni mzuri kuweza kuleta mageuzi mapya ndani ya Fifa.
It's a clear message, dunia haiko tayari kuongozwa na mwarabuFitina zingine bana...yule prince ameukosa vipi urais jamani?
Sio dunia sema baadhi ya wazungu tu maana Africa,Asia na America kusini walitangaza kumuunga mkono mwarabu.ndo maana tunasema ni fitna.It's a clear message, dunia haiko tayari kuongozwa na mwarabu