Giant aliyezungumziwa na Sir Isaac Newton ni nani?

Giant aliyezungumziwa na Sir Isaac Newton ni nani?

armi

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
140
Reaction score
26
"if i have seen further than others it is by standing on the shoulders of GIANTS"

Pandahill sec (2012) nikiwa a-level, kulikuwa na maada inayo mhusu SIR Isaac Newton. Kila mwanafunzi alikua na view zake kiasi kwamba hatukufikia hitimisho

Utata ni huu hapa, inasemekana GIANT aliyemzungumzia bwana newton ni OUR GOD FATHER OF HEAVEN, na wengine wakashikilia view kwamba huyu jamaa alikuwa MEMBER OF SECRET SOCIETY (FREEMASON) kwahiyo GIANT alie mzungumzia ni SATAN
Kama unafahamu lolote la kumhusu huyu mwanasayansi we2 tiririka hapa ndugu

.made in mby city.
 
Ni bora ukaungana na mada nyingine zinazohusu uwepo au kutokwepo kwa Mungu maana zipo nyingi humu.
 
hivi kasema giant au giants ?

Msemo huu ni kwamba hakuweza kufanikiwa kwa kufanya kazi peke yake.. Hata theories nyingine alizoziweka ni muendelezo au kutokana na kazi iliyofanywa na wengine... By the way sidhani kama personal life yake inaongeza au kupunguza science is based on facts and proof not personal beliefs
 
Rudia kusoma,hapo ameandika GIANTS! Na si Giant,hivyo kama unataka kutuaminisha kuwa huyo aliyeandikwa ni Mungu basi ni Miungu wengi,wewe unawajua wangapi ili tuchague ni yupi miongoni mwao anayezungumziwa na Newton?

Aya weka Miungu
 
Hapo ndipo mtu unalazimushwa kuamini kitu sasa..
 
armi hebu rekebisha Kiswahili chako naona wengi tu wanakosea.Maada (matter)na mada(topic).
 
Last edited by a moderator:
haina maana ya miungu wala freemason wala superstitious activity nyingine yoyote... Ule msemo aliusema kua sisi ni kama dwarfs(watu wafupi) ambao tupo tumesimama kwenye shoulders za giants, hapa aliongelea watu waliotutangulia yaani ancestors.. Maana ya hii statement alimaanisha kua kutokana na mambo waliyogundua watu wa zamani, basi tunaweza kuyatumia na kugundua mapya zaidi.... ndio maana wametubeba na ufupi wetu lakini tunaona mbali kuwazidi..
 
alikuwa anamzungumzia mwanamieleka THE BIG SHOW wa WWE,maana kuna nyakati flani alikuwa akijiita the GIANT.
 
Last edited by a moderator:
Giants anaoongea ni wale walioweka foundation iliyomsaidia jenga fikra zilizomfikia kupat amajibu kirahisi sana na kumfanya awe tofauti sana kipindi chake na karne nyingi sana mbele yake.Newton alikuwa mtu wa dini ya Ko-Anglicana aliyesoma vyema theology,phylosophy ,mathematics, na clasical science ilipotokea physics na nyingine.Na hata mazingaombwe ya kisayansi alikuwa akifanya ktk royal halls ambapo palisimamwa na King ambaye ni mlezi mkuu wa Anglican.Leo wajinga wajinga wanaweka mawe kifuani na kupasua hawajui newtons pamoja na kuwa njiti alifanya hayo na mengine mengi sana.Ila alikuwa na maelezo ya kisayansi.Hawa leo wengine wanafanya ila nao wanaamini kuwa lazima mizimu kwanza.
 
A level? Am really sorry bro lakini nimeshangazwa darasa zima mlishindwa kutofautisha 'giant' na 'giants'.

Pili mngeangalia context. Sentensi hiyo aliisema wakati gani? Ndipo mje kwenye 'alimaanisha nini'.

Hata hivyo nawapongeza kwa kuweza kuwa na mdahalo. Natumai mlifikia muafaka.

"Kama nimeona mbali, basi ni kwa sababu nalisimama juu ya mabega ya 'wakubwa'"
 
Giants anaoongea ni wale walioweka foundation iliyomsaidia jenga fikra zilizomfikia kupat amajibu kirahisi sana na kumfanya awe tofauti sana kipindi chake na karne nyingi sana mbele yake.Newton alikuwa mtu wa dini ya Ko-Anglicana aliyesoma vyema theology,phylosophy ,mathematics, na clasical science ilipotokea physics na nyingine.Na hata mazingaombwe ya kisayansi alikuwa akifanya ktk royal halls ambapo palisimamwa na King ambaye ni mlezi mkuu wa Anglican.Leo wajinga wajinga wanaweka mawe kifuani na kupasua hawajui newtons pamoja na kuwa njiti alifanya hayo na mengine mengi sana.Ila alikuwa na maelezo ya kisayansi.Hawa leo wengine wanafanya ila nao wanaamini kuwa lazima mizimu kwanza.

very nice expression ndugu
 
Back
Top Bottom