- Thread starter
- #21
A level? Am really sorry bro lakini nimeshangazwa darasa zima mlishindwa kutofautisha 'giant' na 'giants'.
Pili mngeangalia context. Sentensi hiyo aliisema wakati gani? Ndipo mje kwenye 'alimaanisha nini'.
Hata hivyo nawapongeza kwa kuweza kuwa na mdahalo. Natumai mlifikia muafaka.
"Kama nimeona mbali, basi ni kwa sababu nalisimama juu ya mabega ya 'wakubwa'"
shukrani ndugu