Giants anaoongea ni wale walioweka foundation iliyomsaidia jenga fikra zilizomfikia kupat amajibu kirahisi sana na kumfanya awe tofauti sana kipindi chake na karne nyingi sana mbele yake.Newton alikuwa mtu wa dini ya Ko-Anglicana aliyesoma vyema theology,phylosophy ,mathematics, na clasical science ilipotokea physics na nyingine.Na hata mazingaombwe ya kisayansi alikuwa akifanya ktk royal halls ambapo palisimamwa na King ambaye ni mlezi mkuu wa Anglican.Leo wajinga wajinga wanaweka mawe kifuani na kupasua hawajui newtons pamoja na kuwa njiti alifanya hayo na mengine mengi sana.Ila alikuwa na maelezo ya kisayansi.Hawa leo wengine wanafanya ila nao wanaamini kuwa lazima mizimu kwanza.