A level? Am really sorry bro lakini nimeshangazwa darasa zima mlishindwa kutofautisha 'giant' na 'giants'.
Pili mngeangalia context. Sentensi hiyo aliisema wakati gani? Ndipo mje kwenye 'alimaanisha nini'.
Hata hivyo nawapongeza kwa kuweza kuwa na mdahalo. Natumai mlifikia muafaka.
"Kama nimeona mbali, basi ni kwa sababu nalisimama juu ya mabega ya 'wakubwa'"
Hujaeleweka hapo mkuu, hebu funguka vizuri zaidi ya hapo?
Nice thoughthaina maana ya miungu wala freemason wala superstitious activity nyingine yoyote... Ule msemo aliusema kua sisi ni kama dwarfs(watu wafupi) ambao tupo tumesimama kwenye shoulders za giants, hapa aliongelea watu waliotutangulia yaani ancestors.. Maana ya hii statement alimaanisha kua kutokana na mambo waliyogundua watu wa zamani, basi tunaweza kuyatumia na kugundua mapya zaidi.... ndio maana wametubeba na ufupi wetu lakini tunaona mbali kuwazidi..
Kumbe ni rahisi hivyo kupasua mawe kifuani hebu tupe siri yake kisayansi maana wanatuambua don't try at homeGiants anaoongea ni wale walioweka foundation iliyomsaidia jenga fikra zilizomfikia kupat amajibu kirahisi sana na kumfanya awe tofauti sana kipindi chake na karne nyingi sana mbele yake.Newton alikuwa mtu wa dini ya Ko-Anglicana aliyesoma vyema theology,phylosophy ,mathematics, na clasical science ilipotokea physics na nyingine.Na hata mazingaombwe ya kisayansi alikuwa akifanya ktk royal halls ambapo palisimamwa na King ambaye ni mlezi mkuu wa Anglican.Leo wajinga wajinga wanaweka mawe kifuani na kupasua hawajui newtons pamoja na kuwa njiti alifanya hayo na mengine mengi sana.Ila alikuwa na maelezo ya kisayansi.Hawa leo wengine wanafanya ila nao wanaamini kuwa lazima mizimu kwanza.