Gibbons Mwaikambo

Magodfather wa wanyakyusa ni Marehemu Gibson Mwaikambo na Marehemu Amon Nsekele hao ndio wanyakyusa walio kuwa na ushawishi mkubwa mpaka sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu wote walikuwa na nyadhifa za juu sana katika taasisi za fegha. Nsekela alikuwa Meneja Mkuu wa kwanza wa NBC wakati Mwaikambo akiwa Meneja Mkuu wa kwanza wa NIC.
 
Magodfather wa wanyakyusa ni Marehemu Gibson Mwaikambo na Marehemu Amon Nsekele hao ndio wanyakyusa walio kuwa na ushawishi mkubwa mpaka sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums

They never dropped the ball....they were very keen to assist others.
Kuna wengine ni wabinafsi balaa. Wamezeeka sasa na vyeo wanavyo wengine sijui wanajisikiaje. Very egotists
 
Hakuna mahali nimesema serikali imeua, soma vizuri, nimesema inawezakana ni assasination.
Na assasination si lazima ifanywe na serikali, hata mtu binafsi anaweza kuua, tatizo ni kwa malengo yepi.

Lakini yote ni unproven.
Hebu nikuulize maana ulikuwepo, postmortem ilifanyika?
 
Mkuu siasa ni ulevi wa aina yake.
Ushindani wake ni hadi wapinzani kuuana.
Hapa Rungwe Mwenyekiti wa CCM, John Mwankenja aliuwawa kwa risasi, kisa ni ushingani tena NDANI ya chama tawala.
Spika wa Bunge yuko on record kupiga mtu kwa gongo hadi kupoteza fahamu.

Siasa za ushindani Bongo zina vituko.
 
Nafikiri haikuwa ishu ya kabila gani wengi lakini kabila gani linapendelewa. Lame excuse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa upanga alipata ajali sehemu gani ? Maliki street Au mathuradas
 
Ubalozi wa kongo c pale makao makuu ya skauti ? Ndio hapo alipopatia ajali ?
 
Ha ha ha hiyo sensa alisimamia nani?
Ingawa alikuwa kiongozi mzuri lakini ukweli unabaki kuwa aliweka ndugu zake wengi kazini [hasa sehemu nyeti]. Kuna ndugu yake mmoja ambaye alikuwa anaishi changombe toroli, alikuwa na mchongo wa kununua malori yaliyopata ajali [kupitia bima] alidiriki kuwa na malori mengi tu ingawa kwa waliomfahamu alikuwa ni mtu wa kawaida tu ila kwa vile ni mtoto wa nyumbani, basi aliula vibaya sana.
 
Ni kweli, chunguza hata viongozi waandamizi wa Mwalimu.
Wengi walikuwa "True North".
 
Nakumbuka sana 1995 mwili wake ukiletwa na ndege nikiwa darasa la tatu- mwenge primary school mbeya jiji tulikuwa kila tukiona mkusanyiko wa watu pale Airport tunakwenda kushangaa siku hiyo kumbe alikuwa Gibbons Mwaikambo. Tupe na ya Ephraim Mwasakafyuka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…