Gibbons Mwaikambo

Umefukua makaburi ya wenyewe mkuu

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Wanyakyusa ni loudmouths mkuu.
 
Siyo lugha kinachotuchoresha zaidi ni majina. Unakuta huyu Mwaikambo, huyu mwandambo, huyu mwansansu, huyu Mwanjelwa. Sasa hata kama kwenye Taasisi mpo watatu au wanne mnaonekana wengi balaa.
 
Mkuu huyu mzee kumbe alikuwa na historia kubwa.
Pale Tukuyu njia ya kwenda Mbeya kuna Chuo cha Ufundi kinaitwa Gibonce Mwaikambo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…