Gibson Sembuli, Ahmed Jongo na Mbaraka Mwinshehe

Gibson Sembuli, Ahmed Jongo na Mbaraka Mwinshehe

Kulikiwa na story za uwongo mwingi
1. Sembuli kuchana nyavu
2.Ton Liston kupigana huku mkono umefungwa mnyororo
3. Kawawa funika kikombe watakuuwa
4. Husen Tindwa kufa kiwanjani Taifa alibeba majini
5.Nk
Japo mengi yalikuwa uongo lakini sembuli aliwahi kuchana nyavu
 
Mbaraka Mwinshee Aliiba speaker kwenye msikiti wa mafisa Morogoro akatimkia Mombasa.Waumini waliomba dua wakamuachia Mungu afanye Yake kwa niaba ya waumini..Haikuchelewa dua ikajibiwa Mbaraka Mwinshee akapata ajali akafariki...Mwenyezi Mungu amlaze panapostahili
 
uwanja wa karume,wakati huo nyavu zilikuwa ni za kutengeneza kwa mikono kwa kamba za katani
Ni kweli kabisaa. Sembuli alikuwa akichana nyavu.
Gaga Hamis alipiga penalty moja pale Sokoine stadium,dah!
Mpira aulikutwa jukwaa la makaburu (Kaskazini)
 
Ukotaja Moro nasisimka, kwetu Mazimbu, japo tumetawanyika kutafuta riziki
 
Ni kweli kabisaa. Sembuli alikuwa akichana nyavu.
Gaga Hamis alipiga penalty moja pale Sokoine stadium,dah!
Mpira aulikutwa jukwaa la makaburu (Kaskazini)
Kama alishafanya hivyo basi ni uchakavu wa nyavu tu au uimara ulikuwa mdogo. Bongo wanaweza kuweka hata neti ya mbu.
 
Mbaraka Mwinshee Aliiba speaker kwenye msikiti wa mafisa Morogoro akatimkia Mombasa.Waumini waliomba dua wakamuachia Mungu afanye Yake kwa niaba ya waumini..Haikuchelewa dua ikajibiwa Mbaraka Mwinshee akapata ajali akafariki...Mwenyezi Mungu amlaze panapostahili
Mbaraka alikufa kwa sababu ya kunywa pombe (ulevi) na kuendesha gari. Walikuwa wamekaa bar iliyoko maeneo ya Utange, Mombasa wanakunywa mzinga wa gin yeye na mtoto wa mwenye bar. Kabla haujaisha wakamwambia mhudumu awawekee, wanakwenda sehemu halafu watarudi kuendelea. Wakaondoka kwa kasi na gari aina ya pijo ikiendshwa na yule mtoto wa mwenye bar. Wakiwa kwenye mwendo wa kasi wakagongana na lori na kufariki. Kwenye ile bar walikuwa wakajenga sehemu na kuweka ule mzinga wa gin waliokuwa wanakunywa na kuacha nusu kama ukumbusho.
 
Upo Sahihi kabisaaa kila kifo kina sababu Yake.Ogopa Sana Dua ya mwenyewe kuomba Mungu ikimpendeza awasaidie kuhukumu haraka iwezekavyo na hasa ukizingatia Jambo walilofanyiwa linaathiri Moja kwa Moja katika Kumuabudu Mungu.

Kuna mwaka mtaani kwetu kulikuwa na kijana alikuwa mbabe,mkabaji,mporaji na anapiga chabo.Kuna siku Mzee mmoja anapita upenyoni kiwahi swala ya alfajiri alimkuta anakata dirisha ili sijui aibe ama apige chabo.!Yule Mzee alimuita Kwa Jina lake na kumuonya anachofanya sicho,Yule kijana alimfuata na kumpiga ngumi Yule Mzee iliyomsababisha jicho livimbe na alikosa kuswali na kajiiguza almost week 1..

Mara baada ya kupona alimfuata Baba Yake na kumsimulia kilichotokea mbele Yake Yule kijana,ila kijana alikataa na kumkejeli Yule Mzee.Yule Mzee inasemekana pale pale alimwambia hayo macho unayojivunia ndio yanakupa kiburi cha kuona na kufanya ufanyayo ila me nitaomba Mungu ayafifishe ili nawe iwe sababu ya kuacha ufanyayo na kumrudia Mungu wako.

Ilipita miezi kama 3 siku moja tukapewa taarifa kuwa jamaa katobolewa macho yoote alikodiwa na Wezi wenzake wakavamia ghala kurasini ila kwa bahati mbaya wenzake walipigwa risasi yeye sijui ikawaje akatobolewa macho then wakampeleka police..Hadi Leo hii NI kipofu na yupo Kwao mbagala.. Kwahiyo mkuu haya mambo yapo
 
Back
Top Bottom