Gibson Sembuli, Ahmed Jongo na Mbaraka Mwinshehe

Gibson Sembuli, Ahmed Jongo na Mbaraka Mwinshehe

Upo Sahihi kabisaaa kila kifo kina sababu Yake.Ogopa Sana Dua ya mwenyewe kuomba Mungu ikimpendeza awasaidie kuhukumu haraka iwezekavyo na hasa ukizingatia Jambo walilofanyiwa linaathiri Moja kwa Moja katika Kumuabudu Mungu.

Kuna mwaka mtaani kwetu kulikuwa na kijana alikuwa mbabe,mkabaji,mporaji na anapiga chabo.Kuna siku Mzee mmoja anapita upenyoni kiwahi swala ya alfajiri alimkuta anakata dirisha ili sijui aibe ama apige chabo.!Yule Mzee alimuita Kwa Jina lake na kumuonya anachofanya sicho,Yule kijana alimfuata na kumpiga ngumi Yule Mzee iliyomsababisha jicho livimbe na alikosa kuswali na kajiiguza almost week 1..

Mara baada ya kupona alimfuata Baba Yake na kumsimulia kilichotokea mbele Yake Yule kijana,ila kijana alikataa na kumkejeli Yule Mzee.Yule Mzee inasemekana pale pale alimwambia hayo macho unayojivunia ndio yanakupa kiburi cha kuona na kufanya ufanyayo ila me nitaomba Mungu ayafifishe ili nawe iwe sababu ya kuacha ufanyayo na kumrudia Mungu wako.

Ilipita miezi kama 3 siku moja tukapewa taarifa kuwa jamaa katobolewa macho yoote alikodiwa na Wezi wenzake wakavamia ghala kurasini ila kwa bahati mbaya wenzake walipigwa risasi yeye sijui ikawaje akatobolewa macho then wakampeleka police..Hadi Leo hii NI kipofu na yupo Kwao mbagala.. Kwahiyo mkuu haya mambo yapo
Mkuu hizi ni fantacy zetu waswahili tu. Hakuna kitu kama dua. Lingekuwepo yule polisi Mafwele angekuwa kaburini sasa hivi
 
Hivi sasa usiku huu tbc taifa wanapiga nyimbo kumsifua sembuki,anaongoza kioindi mbazigwa hassan
 
Ni kweli kabisaa. Sembuli alikuwa akichana nyavu.
Gaga Hamis alipiga penalty moja pale Sokoine stadium,dah!
Mpira aulikutwa jukwaa la makaburu (Kaskazini)
Mkuu unamaanisha Hamisi Gaga "Gagarino"?
 
Back
Top Bottom