fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Kulikiwa na story za uwongo mwingiKipindi hicho utasikia Sembuli anachana nyavu,au kipa akidaka shuti lake anachanika mikono.
Japo mengi yalikuwa uongo lakini sembuli aliwahi kuchana nyavuKulikiwa na story za uwongo mwingi
1. Sembuli kuchana nyavu
2.Ton Liston kupigana huku mkono umefungwa mnyororo
3. Kawawa funika kikombe watakuuwa
4. Husen Tindwa kufa kiwanjani Taifa alibeba majini
5.Nk
Wapi? Nyamagana au Karume?.Japo mengi yalikuwa uongo lakini sembuli aliwahi kuchana nyavu
Namba 4 ni kweliKulikiwa na story za uwongo mwingi
1. Sembuli kuchana nyavu
2.Ton Liston kupigana huku mkono umefungwa mnyororo
3. Kawawa funika kikombe watakuuwa
4. Husen Tindwa kufa kiwanjani Taifa alibeba majini
5.Nk
uwanja wa karume,wakati huo nyavu zilikuwa ni za kutengeneza kwa mikono kwa kamba za kataniWapi? Nyamagana au Karume?.
Ni kweli kabisaa. Sembuli alikuwa akichana nyavu.uwanja wa karume,wakati huo nyavu zilikuwa ni za kutengeneza kwa mikono kwa kamba za katani
Kwetu Kidudwe!Ukotaja Moro nasisimka, kwetu Mazimbu, japo tumetawanyika kutafuta riziki
Kama alishafanya hivyo basi ni uchakavu wa nyavu tu au uimara ulikuwa mdogo. Bongo wanaweza kuweka hata neti ya mbu.Ni kweli kabisaa. Sembuli alikuwa akichana nyavu.
Gaga Hamis alipiga penalty moja pale Sokoine stadium,dah!
Mpira aulikutwa jukwaa la makaburu (Kaskazini)
Unaweza ukawa sahihi. Lakini wakati ule tuliziita nyavu na ndizo zilizokuwa zinatumika na kukubalika na chama cha soka Tanzania, FAT. Whether zilikuwa mbovu ama imara ila tuliziita nyavu.Kama alishafanya hivyo basi ni uchakavu wa nyavu tu au uimara ulikuwa mdogo. Bongo wanaweza kuweka hata neti ya mbu.
Mbaraka alikufa kwa sababu ya kunywa pombe (ulevi) na kuendesha gari. Walikuwa wamekaa bar iliyoko maeneo ya Utange, Mombasa wanakunywa mzinga wa gin yeye na mtoto wa mwenye bar. Kabla haujaisha wakamwambia mhudumu awawekee, wanakwenda sehemu halafu watarudi kuendelea. Wakaondoka kwa kasi na gari aina ya pijo ikiendshwa na yule mtoto wa mwenye bar. Wakiwa kwenye mwendo wa kasi wakagongana na lori na kufariki. Kwenye ile bar walikuwa wakajenga sehemu na kuweka ule mzinga wa gin waliokuwa wanakunywa na kuacha nusu kama ukumbusho.Mbaraka Mwinshee Aliiba speaker kwenye msikiti wa mafisa Morogoro akatimkia Mombasa.Waumini waliomba dua wakamuachia Mungu afanye Yake kwa niaba ya waumini..Haikuchelewa dua ikajibiwa Mbaraka Mwinshee akapata ajali akafariki...Mwenyezi Mungu amlaze panapostahili
Upo Sahihi kabisaaa kila kifo kina sababu Yake.Ogopa Sana Dua ya mwenyewe kuomba Mungu ikimpendeza awasaidie kuhukumu haraka iwezekavyo na hasa ukizingatia Jambo walilofanyiwa linaathiri Moja kwa Moja katika Kumuabudu Mungu.Mbaraka alikufa kwa sababu ya kunywa pombe (ulevi) na kuendesha gari. Walikuwa wamekaa bar iliyoko maeneo ya Utange, Mombasa wanakunywa mzinga wa gin yeye na mtoto wa mwenye bar. Kabla haujaisha wakamwambia mhudumu awawekee, wanakwenda sehemu halafu watarudi kuendelea. Wakaondoka kwa kasi na gari aina ya pijo ikiendshwa na yule mtoto wa mwenye bar. Wakiwa kwenye mwendo wa kasi wakagongana na lori na kufariki. Kwenye ile bar walikuwa wakajenga sehemu na kuweka ule mzinga wa gin waliokuwa wanakunywa na kuacha nusu kama ukumbusho.