Gideon Chipungahelo andelea kuwamaliza washiriki wa Miss Utalii!

Gideon Chipungahelo andelea kuwamaliza washiriki wa Miss Utalii!

Mshiriki Miss Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Kati Dodoma 2011 Irene Richard (CBE) akiwa na Gideon Chipungahelo, mwandaaji wa mashindano hayo.

attachment.php

nadhani bint alikula dili na third part,ili kumuumbua jamaa,na jamaa hakuelewa kuwa kuna third pata inapiga picha,kazi kwelikweli
 
Mamaaaaaa uyu demu wangu uyu....aaaaaa chipungahelo...!!!***** walakh!!yani mi nighalamie hela ya chuo we uje unuse mpododo....!kanipgia msela wangu kuwa demu wako wamemrusha JF,nkajua kwa mazuri!SIKUBALI DADADEKI




Pole Mkuu kwa kugusiwa mpododo wako, ila inaonekana mrembo mwenyewe ana mawazo tele ni kama hajafurahia hiko kitendo
 
Mpododo huo mtamu kweli kweli,tena wa kuibia unaweza piga hata 4 hapo za haja.
 
Inaonyesha jamaa bado anabembeleza hajakubaliwa bado maana naona kapiga goti kabisa na demu mwenyewe mawazo yako mbali, yaani hayupo kikazi hata kidogo, maskini weee ila mwisho labda alikubali tu.....haya sasa ni mwanao sasa huyu na huyo ndio mumeo.
 
Halafu kumbe ni night ya saa nne??/ uwiiiii hapo shetani alikua anaogopa!!!!!
 
kwakweli nimecheka sana. Bakwata na vibali vya mamiss!?
 
Daah huyu jamaa kwanza afya yake tu inaonyesha ni mgogoro mtupu..maskini dada zetu!
 
Back
Top Bottom