engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Mshiriki Miss Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Kati Dodoma 2011 Irene Richard (CBE) akiwa na Gideon Chipungahelo, mwandaaji wa mashindano hayo.
Mamaaaaaa uyu demu wangu uyu....aaaaaa chipungahelo...!!!***** walakh!!yani mi nighalamie hela ya chuo we uje unuse mpododo....!kanipgia msela wangu kuwa demu wako wamemrusha JF,nkajua kwa mazuri!SIKUBALI DADADEKI
Hawa CCM wapuuzi sana.
nadhani bint alikula dili na third part,ili kumuumbua jamaa,na jamaa hakuelewa kuwa kuna third pata inapiga picha,kazi kwelikweli
Hiyo ni picha tu, wala sikumtafuna
BAKWATA issues licence for those kind of mashindano uchwara!
jamaa kama haogi vile