yah alimpa awe mkali wa kinondoni,kujua tu hayo nikajitoa sikutaka kuumiza kichwapole sana mkuu
vipi na yeye alikuwa mshiriki katika haya mashindano?
what does bakwata has to do with this rubbish?
Iwe yeuwuiiiiiiiii dunia hiii jaman auwiiiiiiimatukio-michuzi: Basata yatoa Kalipio kali kwa Mratibu wa shindano la Miss Utalii
Gideon Chipungahelo awekwa kitimoto na BASATA kwa kuwatendea washiriki wa miss utalii 2013 yasiyofaa.
CCM????????????Hawa CCM wapuuzi sana.
Mola tupe hikmabakwata?????
Aisee una miaka 10 jf ww mkaliAisee mke wake ana kazi,kama anae
Muuza karanga akila karanga ni dhambi?
Muuza korosho akila korosho ni dhambi?
Muuza mahindi ya kuchoma akila mahindi ni dhambi?
Ukinijibu nitag.
“Ceteris paribus”😁😁do you mean pia kuuliza kuwa mkusanya kodi akila Trillion 1.5 ni dhambi? Just joking😁😁