Msishangae
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 363
- 267
Wakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
UONGOAliwafundisha wale Wasabato wa Rwanda wimbo wa "Kwetu Pazuri". Walipopata ajali na baadhi yao wakafa wakaenda kwao Pazuri akawafundisha wimbo wa "Kwanini Umeyaruhusu", kwamba hakutaka waende kwao Pazuri! Ahahahahaha!!!!
Ahahahahaha!!!UONGO
Sio yeyeAliwafundisha wale Wasabato wa Rwanda wimbo wa "Kwetu Pazuri". Walipopata ajali na baadhi yao wakafa wakaenda kwao Pazuri akawafundisha wimbo wa "Kwanini Umeyaruhusu", kwamba hakutaka waende kwao Pazuri! Ahahahahaha!!!!
Ahahahahaha!!Sio yeye
Alirudi kwao Uganda, anaendeleza kipaji chake cha nyimboWakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
Nani kakuambia!?Hakuna wasabato humu