PreGE2025 Gido Simfukwe: CHADEMA imezuiwa siasa mpaka kesi isikilizwe, sio siku 14. Msipotoshe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo kwamba zuio ni la siku 14 kitu ambacho wamekipinga.

Akizumgumza na waandishi wa habari mapema leo,Juni, 12,2025 jijini Dar-es-Salaam Gido Thomas Simfukwe kwa niaba ya wenzake amesema kuwa katika kesi ya madai namba 8323 ya mwaka 2025 ya mgogoro wa mgawanyo raslimali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umma unapotoshwa.

"Amri ya kwanza ambayo Jaji aliitoa ni kuzuia shughuli zote za kisiasa hadi pale kesi ya msingi itakaposikilizwa, amri ya pili amezuia wasitumie mali za chama, kuna upotoshaji unaendelea"

Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

"Kwamba hili zuio limetolewa kwa muda wa siku 14, zuio limetolewa mpaka pale kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa maamuzi"-Gido Simfukwe, mojawapo ya mawakili wa waleta maombi katika kesi dhidi ya CHADEMA.
 
Kwa danadana za majaji wetu na maagizo toka juu, hii kesi itakwisha mwaka huu kweli???

Screenshot_20250612-223025.png
 
Wapare ni majini sio watanzania. Ndiyo maana kihitoria akina mangi waliwachapa makofi wakakimbia. Kesi ya kuku anauzwa ngombe kweli. Msituletee ujinga wenu.

Mlishadharaulika na bado mnaonyesha uwezo wenu wa kesi ya kuku na ng'ombe?
 
View attachment 3366236
Wamechelewa sana ikibidi waifute rasimi kabisa lakini NO REFORM NO ELECTION iko pale pale.
Ujumbe wa TAL una nguvu sana kuliko haya ya mahakama-CCM, Poli-CCM na Msaji-CCM
NO REFORM NO ELECTION ✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼
 
Ukisikia uhuni ndio huu sasa, hivi huyo jaji ana ubavu wa kufanya huu ujinga Kwa CCM? Au na yeye ana Kadi ya kijani
 
Wapare ni majini sio watanzania. Ndiyo maana kihitoria akina mangi waliwachapa makofi wakakimbia. Kesi ya kuku anauzwa ngombe kweli. Msituletee ujinga wenu.

Mlishadharaulika na bado mnaonyesha uwezo wenu wa kesi ya kuku na ng'ombe?
Wapare wamefanya nini tena?
 
Back
Top Bottom