Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Kama uwezo unaruhusu mnunulie gari dogo rangi ya pink au nyekundu.
au amnunulie kiwanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uwezo unaruhusu mnunulie gari dogo rangi ya pink au nyekundu.
Jaman mi nawaza nawazua lakn jb cpati? Nimpe zawad gan mpenz wangu(ke) ajisikie furaha? Nisaidien jaman
Rose umeniacha kidogo hapo au macho yangu yana makengeza?
Jaman mi nawaza nawazua lakn jb cpati? Nimpe zawad gan mpenz wangu(ke) ajisikie furaha? Nisaidien jaman
mpe biblia na mwambie Yesu kazaliwa kwa ajili yake na anampenda sana!
Unaweza kubisha ila ni zawadi kubwa kuliko zote duniani na hata mbinguni (Yesu=neno)