Hivi na wanyakyusa sikuhizi wamekuwa hivi?haya sasa ni mabadiliko ya tabi ya nchi.Hakuna anayelalamika
Chura wa Kinyakyusa haishiwi vituko....anasaka kick tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na wanyakyusa sikuhizi wamekuwa hivi?haya sasa ni mabadiliko ya tabi ya nchi.Hakuna anayelalamika
Chura wa Kinyakyusa haishiwi vituko....anasaka kick tu
Nilishaamua kuUNFOLLOW kitambo tu yalinishinda makorokoro yao...Nikiwambia snura alionewa bure mtaona kama namtetea, lkn sheria za mtandao hizichukui hatua dhidi ya mambo ya ajabu kama haya.kule fb kuna Dada mmoja anajiita sijui habari za vyuoni ni balaa tupu picha zinazopositiwa kule
Muacheni Monica wetu[emoji1] [emoji1]Km Monicca
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] Dah! AiseeKitaitwa "Mbuzi kagoma"
Atakuja na ujio mpyaBaada ya Chura ya Snura, sasa ni supu ya Gigy...tunasubiria Shilole nae sijui atakuja na kibao gani?
tunamsubiriaaaAtakuja na ujio mpya
Mkuu kwani kuna sehemu kasema uongo hapo? maana nachojua sheria ya mtandao inawabana wapotoshaji. Labda kama tako hilo lingekuwa la Mchina hapo wangehusika.Anapenda kukaa uchi
Huyu dada ana matatizo
Hivi Sheria ya Makosa ya Kimtandao ni pambo ?
Huyu ndo Giggy bhana....Chura wa Kinyakyusa
Jiandaeni kunyweshwa supu !!!
Supu ya moto
Kunywa supu kwa afya
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
![]()
Huyu dem mshamba tu.Hakuna anayelalamika
Chura wa Kinyakyusa haishiwi vituko....anasaka kick tu
![]()
![]()
![]()
Anapenda kukaa uchi