Mbona jamaa hawamtafuti au hawamuoni?Basata uyu afungwe maisha hii n zaid
Hivi hawa watoto hawana wazazi, ?
Ulifuta kwa sababu zako tu kwani lazima kumfollow na kuangalia post zake?Umesema kweli, ndie aliyesabababisha nikafuta Akaunti yangu ya Instagram kwa huo upumbavu wake sijui wa Supu wengine wanauza magengeni yy anauza ndani ga nyumba hiyo ni Pusu sio supu!
Umba wakoHata hana uzur chefuu
Kumbe Gigy Money uko hadi JF?Ulifuta kwa sababu zako tu kwani lazima kumfollow na kuangalia post zake?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe Gigy Money uko hadi JF?
Ama kweli duniani kuna mambo na vijambo!NA umemsikia kwenye TAKE ONE?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahh, ni kweli yanini kujipa kirangamoyo kwa matendo ya majinuni!