Giggy Money aja na SUPU

Giggy Money aja na SUPU

Umesema kweli, ndie aliyesabababisha nikafuta Akaunti yangu ya Instagram kwa huo upumbavu wake sijui wa Supu wengine wanauza magengeni yy anauza ndani ga nyumba hiyo ni Pusu sio supu!
Ulifuta kwa sababu zako tu kwani lazima kumfollow na kuangalia post zake?
 
Ama kweli duniani kuna mambo na vijambo!
1470821731106.jpg
1470821735550.jpg

Utajipa stress za bure
 
Back
Top Bottom