Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu inavyoonesha wazazi wao hawalioni tatizoHivi hawa watoto hawana wazazi, ?
Aisee hii si bure,nafikiri akili haziko sawa kabisa.Kuna shida mahali
Na hapo ndio penye kiini cha tatizomkuu inavyoonesha wazazi wao hawalioni tatizo
Wewe unadhani anaishije mjini[emoji2]huyu hiv usiki hajiuz kweli
Sio kwa muktadha huo...bila kujali mzazi yuko wapi, kama mtoto alilelewa kwa maadili mema hawezi kuja kuharibika ukubwani, ziko kesi za namna hiyo lakini si nyingi....wazazi na walezi mara nyingi ndio huwa chanzo cha hata yotewazazi wao wako kijijini,awana smartphone.
Ukweli mtupu,mzazi usipomlea mwanao katika njia inayopasa madhara yake ndio haya sasa.Sio kwa muktadha huo...bila kujali mzazi yuko wapi, kama mtoto alilelewa kwa maadili mema hawezi kuja kuharibika ukubwani, ziko kesi za namna hiyo lakini si nyingi....wazazi na walezi mara nyingi ndio huwa chanzo cha hata yote
kweli kaka. na haya mawimbi makali ya utandawazi yataleta balaa kwenye jamiiNa hapo ndio penye kiini cha tatizo
Anaonekana mchafu mchafu....
Kwanini/kivipi?
Je kaka, wajomba, baba wadogo , shangazi au yeyote wanaemuheshimu maana hii sasa ni hatari Hawana adabu hata kidogowazazi wao wako kijijini,awana smartphone.