Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
What difference does it make?tehetehe haapo ulipo umevaanguo ama upo kama huyu mwanamke ?
Kwani binadamu wote ulikutano nao wanavaa na kutenda kama wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What difference does it make?tehetehe haapo ulipo umevaanguo ama upo kama huyu mwanamke ?
Unaniuliza mimi mkuu..?Huyu ndio nani wakuu?
Itakua ya mkia[emoji2] [emoji2]Dah! atuambie kabisa ni bei gani hiyo supu na inakatwa upande upi wa nyama!?
Mi sitaki mifupa na ikiwa ya tako ntafrahi zaidi...
sasa naona Gigiy yeye kaamua kuwa kinyonga kabisaaaMsikilize chura sasa
![]()
sina undugu na hawa wauza naniliu na wanaokaa uchi uchi nina binti anaendelea kukuwa nasikitika na ninahofu na matabia ya aina hii sijui tunakoelekeaWaTZ wote ni ndugu...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] maana jinsi anavyojibadilisha rangi.. kwel huyu ni haswaaaaKinyonga wa Kinyakyusa
Anapenda kujifedheheshaGiggy mvua nguo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]