Giggy Money aonyesha kizibo cha asali

Biashara matangazo, nampongeza tu kwa kujihandaa na picha hii kwa kuvaa chupi mpya.
 
Yaani hapo mwenzio ndio amejistiri wewe unaona yupo uchi?

Au haujaziona picha zake alizokaa kihasara hasara hebu nenda kwenye account yake ya IG umuone kwanza mwenywe anakwambia asipokaa hovyo wewe hauwezi kuangalia picha zake so brand yake ni hiko kizibo cha asali na huwa anafanya matangazo ya chupi.
 
Aisee!! Nimesikitika sana kuona mambo anayofanya huko IG.
 
Mnahangaika nini sasa, na ili hali yule Nay akiimba 'pale kati patamu' mnamshitakia kwa wakubwa ili afungiwe.
 
Hivi inakuwaje ukimkuta Demu beach au Swimming pool kavaa pichu tu bila skirt, na ukamkuta demu huyo huyo kwingine kavaa skirt na hamad ukaiona pichu ile ile kipimo cha 'kizunguzungu cha mahaba' huwa tofauti?
 
Kwani si huwa mnasema kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakavyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…