gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Kiko wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si unajua kwaresma lazima tutaje kwa lugha ya wenyewe [emoji23]Yaani umeamua kutaja.. kwa ila lugha? [emoji23][emoji23][emoji23]
si unajua mm ata nikiona hainisaidii kitu kazi kwenuPichu! Chupi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !
Pale wanaume washaona naniliuu..! Huioni pale wewe
Daah! Acha tuu aisee! Sasa hivi no kufanya mambo ya kijinga kijingasi unajua kwaresma lazima tutaje kwa lugha ya wenyewe [emoji23]
Daah! Sasa hivi ni majaribu tuu!si unajua mm ata nikiona hainisaidii kitu kazi kwenu
yaan sasa hivi ni kama walokole shem [emoji23]Daah! Sasa hivi ni majaribu tuu!
Daah! Acha tuu aisee! Sasa hivi no kufanya mambo ya kijinga kijinga
Mwambie maana Kampala si mchezoUkifika Kampala naona suruali yako italoa chepe chepe
Hata lee ametulia sasa hivi eeh?yaan sasa hivi ni kama walokole shem [emoji23]
katulia hhahahahHata lee ametulia sasa hivi eeh?
Ni nyeti zipi zilizo nje hapo?Apo chacha!!
Dada angu giggy money uko unapoelekea sasa si mahala pazuri,nakusihi badirika bado haujachelewa achana na huu upuuzi wa kuonyesha nyeti zako njee .View attachment 418168 View attachment 418168
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16]Gigy Money mashabiki wake sio watu wenye stress za maisha, lakini ukisikiliza nyimbo za Mpoto utajua aina za mashabiki wake ni wale jamaa wa kulialia na maisha tu.