unahisi kila kinachojadiliwa humu kina maslahi kwa taifa?hivi tatoo ya ya gigy money ina maslai yoyote kwa taifa letu
Ile dhambi ilivyombaya unadhani huwa mtumiaji ana muda hata wa kuangalia mazingira kama yanapendeza au laa?Haaha itakuwa
Anapendezesha mazingira
tuanzie kwako kwa coz hata we we ni a part of nationUliza kwa taifa lako ama kwa giggy
tuanze na mleta mada aliye taka tujadili ta tuone hiyo tattooAnzia kwao kwanza