Giggy money ndani ya new tattoo

Giggy money ndani ya new tattoo

Ila tuende mbele na kurudi nyuma humu duniani Kuna kazi ngumu, sasa kama huyu anayemchora tattoo jamani ni mzima au jamii ya akina kaoge, mimi ninavyojua nisigeweza, yaani unagusa kalio unalishikashika alafu huyo abdalah kichwa wazi anaangalia tu , mi nahisi tattoo isingechoreka. Ila huyu dada giggy haya maisha anayoishi kukaa uchi, kujichora tattoo sehem za siri, Kuna siku atajuta, mm nina jamaa mmoja sasa hivi ana miaka 40 anajuta kwa nn alijichora tattoo kibao anajilaumu sana, anajiona yy ni mfano mbaya kwa watoto wake
 
Kama ingekuwa ni redio yangu anayofanyia kazi ningemtimua kazi. Huwezi kuwa na mfanya kazi asiye na heshima kama huyo katika taasisi yako
 
Huyo mo j sina uhakika kama ni mwanaume alokamilika au ndo limbwata la kinyakyusa maana Hawa watu wa huko nao kwenye hayo mambo wapo vizur
 
Huyo mo j sina uhakika kama ni mwanaume alokamilika au ndo limbwata la kinyakyusa maana Hawa watu wa huko nao kwenye hayo mambo wapo vizur
IMG_20170301_093008_226.JPG
mkaka wa watu inaonekana anampenda sana giggy ila ndo hivyo tena
 
Back
Top Bottom