miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mpaka nyama ya chini ya shingo ilegee atapata akiliMpeni ushauri nasaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka nyama ya chini ya shingo ilegee atapata akiliMpeni ushauri nasaha
Asipofika huko??.... Anatuharibia jamiimpaka nyama ya chini ya shingo ilegee atapata akili
atafika tu mbonaAsipofika huko??.... Anatuharibia jamii
ila huyu mkaka jamaan namuona alivyo hatakiwi kuwa na mwanamke aina ya gigy sema ndio hivyo kagusa kanasaView attachment 475694 mkaka wa watu inaonekana anampenda sana giggy ila ndo hivyo tena
Kwasababu hajali na anaona anachofanya ni sawa. Wewe ambaye hajawahi kukuona ndo unaona anadhalilika wakati yeye hajali.Kwanini?
Alitakiwa awe na mwanamke wa aina gani?ila huyu mkaka jamaan namuona alivyo hatakiwi kuwa na mwanamke aina ya gigy sema ndio hivyo kagusa kanasa
angepata mdada mstaarabu sio kichaa kama gigyAlitakiwa awe na mwanamke wa aina gani?
Halafu anaonekana ni mstaarabu mkaka wa watu yaani hawaendani hata roboView attachment 475694 mkaka wa watu inaonekana anampenda sana giggy ila ndo hivyo tena
hahahaha dahIli mtu akiwa anamruka ukuta iongeze bashasha au?