Giggy money ndani ya new tattoo

Giggy money ndani ya new tattoo

Baada ya kuona mwenyekiti wa ubuyu Jamiiforum warumi anatumikia BAN nimeona bora nijaribu taaluma yake

Mtangazaji maarufu wa choicefm katika kurasa yake huko Instagram ameamua kuonesha ukichaa wake baada ya kupost video akichorwa tattoo ya kwenye a$$

Mtangazaji huyo wa kipindi cha lavidavi ambaye inafahamika ni mtu wa kupenda 'kiki' amepost video hiyo na kuandika 'my new tattoo'

Hivi wanawake huwa tunafikiria nini?huu ni upumbavu ndio maana tunadhalilika kila siku

I feel sorry kwa boyfriend wake moj
Bebe hili jukwaa halikufai [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Hili ni jukwaa la waswahili waswahili ambao hawajaenda shule kutwa kuzungumza ya watu ambayo hayawasaidii kwa lolote

Nisinge penda nikupoteze mke wangu

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Da gigy anabonge la msambwandaa jamaa wa tatoo analishika tu ha ha ha ha ha ila sindano ya tatoo inaumaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
D gigy anabonge la msambwandaa jamaa wa tatoo analishika tu ha ha ha ha ha ila sindano ya tatoo inaumaa
Unatamani tako la mwanamke mwenzio??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Au ww ni Tom Boy nini?
 
Bebe hili jukwaa halikufai [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Hili ni jukwaa la waswahili waswahili ambao hawajaenda shule kutwa kuzungumza ya watu ambayo hayawasaidii kwa lolote

Nisinge penda nikupoteze mke wangu

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hun kuanzia kesho siingii tena hili jukwaa halinifai kweli
 
Back
Top Bottom