Giggy money ndani ya new tattoo

°Nimeassume hapendi
°Hainiumi ila inatia aibu
Sawa Joanah ila usipende kuassume vitu, kwasababu wapo wanaopenda na kuridhika katika vitu vile usivyopenda wewe.
 
Ulimlipa sh ngapi au ulitoka nae kishkaji tu
 
Nawe ni zaidi ya huyo giggy money wako,. Ni ujinga na the waste of time kumjadili mjinga, ili Iweje kwa mfano.. Hayo kamwambie Bashite...
 
aibu naona mm utafkili moj sijui moja ni kaka angu namuonea mpk huruma ndio akome siku nyingine kutembea na machizi apo kama dole gumba tutayajua kwa gigy
 
aibu naona mm utafkili moj sijui moja ni kaka angu namuonea mpk huruma ndio akome siku nyingine kutembea na machizi apo kama dole gumba tutayajua kwa gigy
Huyu mdada sio mstaarabu yani kaamua amjibu kabisa
 
hivi hiyo tattoo bado anayo?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo kwa kucomplain vitu hata visivyowahusu nimewavulia kofia. Sasa mtu kachora tattoo yake mwenyewe, tako lake mwenyewe, anawadhalilisha wanawake kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…