"Gigi Money amtabulisha mpenzi wake ni mtangazaji wa redio!

"Gigi Money amtabulisha mpenzi wake ni mtangazaji wa redio!

Hureeeeeehhh mwanaume kapata kitu kilicho boraaaaaaa na chemaaaaaa hahahaha!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Japo sja angalia hiyo video.

Hivi mtu unapoamua kuwa mpenzi wa Giggie
Unakuwa una tegemea nn!!?
Jamaa ana roho ngumu na atakuwa kajiandaa kisaikolojia.
Sina tatizo na hilo ila siku kikinuka warudi tena hapo wafanye hivyo hivyo
 
Nahisi jamaa kaufuata msambwanda tuu, akijichokea atatafuta sababu ya kujisepea.....!!!

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mm hata video sijaangaliaa maana naona jamaa kafakamia dumu la petrol wakat ana moto mdomon
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mbona sawa kabisa Gigi inawezekana alisha acha aliyofanya huko nyuma maana alikuwa anatafuta kipato sasa ana kazi mbili video queen na mtangazaji huenda kaamua kutulia kuanza maisha mapya ya kufaidi mapenzi ya kweli na si biashara. Wapo wasichana wengi ambao wanajifanya watulivu ila wana mabwana kibao wa sirini, na wanaume wanatokwa povu hapa eti jamaa asiende peku hapo ambapo yeye anapita peku hata hajui wangapi walisha pita hapo ila anajifariji kwa kuwa hajasikia list, Gigy anaweza kuwa salama sana kuliko hao waliojificha kwa mavazi.
 
>> KWA hiyo clip Hapo GIGY ndio AMEJIKWATUA ??? au maana daah kama shumileta la kimakonde >>
 
Huyo jamaa lazma apigwe picha ya utupu kisirisiri ili giggy auze habari
 
Jamaa amesema anaendesha kipindi cha mapenzi pale choice fm. Sijawahi sikiliza hicho kipindi. Ila kama ni kweli jamaa anaelewa in and out za relationship, pomoja na saikolojia yake. Basi Gigi money si tatizo kwake.
 
huyo kaka ni jasiri na kauzu sijawahi ona[emoji23] afu wana miezi hata sita ...
picha zote za uchi za gigy hana habari

kuna siku alirusha mavideo ya kushikana k insta... yani hapana
sema huyo kaka ana sauti[emoji7] mashallah
 
na alisema huyo ni mume wake mtarajiwa,,wa kuolewa hatakua gigy kweli
 
Back
Top Bottom