Mbona sawa kabisa Gigi inawezekana alisha acha aliyofanya huko nyuma maana alikuwa anatafuta kipato sasa ana kazi mbili video queen na mtangazaji huenda kaamua kutulia kuanza maisha mapya ya kufaidi mapenzi ya kweli na si biashara. Wapo wasichana wengi ambao wanajifanya watulivu ila wana mabwana kibao wa sirini, na wanaume wanatokwa povu hapa eti jamaa asiende peku hapo ambapo yeye anapita peku hata hajui wangapi walisha pita hapo ila anajifariji kwa kuwa hajasikia list, Gigy anaweza kuwa salama sana kuliko hao waliojificha kwa mavazi.