cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Jamaa anaenda kavu?
KabiiiiisaaaUkiangalia video yote utagundua mazuzu wawili wamekutana.
Jamani umenichekesha, mchumba si inabidi na familia waanzishe au?
Duuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] asante mzaramoWakiachana ajiandae kuitwa kibamia
Huyo jamaa anatafuta umaarufuJapo sja angalia hiyo video.
Hivi mtu unapoamua kuwa mpenzi wa Giggie
Unakuwa una tegemea nn!!?
Jamaa ana roho ngumu na atakuwa kajiandaa kisaikolojia.
Afadhali ya jiwe, atakuwa kang'ata kiny*sihakika huyu jamaa ni kama kang*ata jiwe vile.