"Gigi Money amtabulisha mpenzi wake ni mtangazaji wa redio!

Japo sja angalia hiyo video.

Hivi mtu unapoamua kuwa mpenzi wa Giggie
Unakuwa una tegemea nn!!?
Jamaa ana roho ngumu na atakuwa kajiandaa kisaikolojia.
Na kamsifia kweli eti ni mwanamke muelewa,msikivu,anajiheshimu
Ana mapenzi ya dhati
Lakin gigy kajitahidi ka kijana kazuriii
 
Mwandiko wako umepata mafua amtabulisha=amtambulisha...

By the way acha vijana wasake umaarufu...
 
Mwacha ajipigie maana hapo unapiga kona zote raha iliojeeeeeeeeeeeh
 
Mmenifanya niitafute hiyo orodha aliyoitaja Gigy.....ngoja nizame Library!
 
gigi ni demu wa chawote ,ukiwa na hela yako tu unapiga...sidhani kama kuna mapenzi ya dhati hapo.I think kuna project inatengenezwa ukizingatia wote wawili wapo chini ya menejimenti ya "michael scofield" ruge mutahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…