GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

WASAFI na Gigy money ni marafiki wa karibu, gigy money alishasema live kuwa anamkubali Diamond Platinumz zaidi ya Alikiba.
hivi karibuni gigy alitembelea studio za wasafi na kupost video ikionyesha akienjoy na wasafi, pia video moja ikimuonyesha akimlazimisha rayvany kurekodi nae selfie video huku rayvany akikataa kwa kusema anafamilia.

Inakoelekea Gigy Money atasaini wasafi​

Hivi haka huwa kana matatizo gn

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umeona eee! Maana si kwalimsabwanda lile, sa hivi kakongoroka yani daaah...nadhani hata tatoos akichora haoneshi km zama zileee[emoji81] [emoji81]
tattoo imebadilika from ua hadi tembele,si kwa kusinyaa vile
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wewe unafanya zambi ngapi kwa siku? Toa unafiki hapa akifanya mtu maarufu ndio mnaona zambi ila ukifanya wewe starehe. Nyambaaafu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ukisimama na mtu mwenye dhambi nawe pia unapata dhambi ? Basi nadhani masheikh na makisisi wote wataenda motoni

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mmmhh
 
Inataka moyo kukataa mauno ya huyu MHENGA giggy

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Msambwanda wote umekwisha,hiyo diet sio ya nchi hii.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
We zambi huna .....mbona unapenda kuhukumu
 
Inasemekana G na Lulu wana kapepo fulani hivi.. hata ndugu yetu wa iefuem aliyetangulia mtaani wanadai alipita na Gigy na Lulu..
 
Sasa wakianza kuporomoka vipi wakati wameshaporomoka,hata huyo boss wao anachokiimba hakionekani amekuwa muuza karanga tuu

Post sent using JamiiForums mobile app
Unajitekenya afu unacheka mwenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kiremba na kanzu ni vazi la asili la mashariki ya kati ikiwemo nchi za kiarabu na sio vaZi la kiislam coz hata wayahudi wanavaa....usikariri,nyie ndo mkiona alama + unaita msalaba wakati yaweza kua ni alama ya jumlisha.
 
Ngoma haimuachag mtu
Salama

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom