Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Hivi haka huwa kana matatizo gnWASAFI na Gigy money ni marafiki wa karibu, gigy money alishasema live kuwa anamkubali Diamond Platinumz zaidi ya Alikiba.
hivi karibuni gigy alitembelea studio za wasafi na kupost video ikionyesha akienjoy na wasafi, pia video moja ikimuonyesha akimlazimisha rayvany kurekodi nae selfie video huku rayvany akikataa kwa kusema anafamilia.
Inakoelekea Gigy Money atasaini wasafi
tattoo imebadilika from ua hadi tembele,si kwa kusinyaa vileUmeona eee! Maana si kwalimsabwanda lile, sa hivi kakongoroka yani daaah...nadhani hata tatoos akichora haoneshi km zama zileee[emoji81] [emoji81]
Wewe unafanya zambi ngapi kwa siku? Toa unafiki hapa akifanya mtu maarufu ndio mnaona zambi ila ukifanya wewe starehe. NyambaaafuHalafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ukisimama na mtu mwenye dhambi nawe pia unapata dhambi ? Basi nadhani masheikh na makisisi wote wataenda motoniHalafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
MmmhhHalafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaaaaa kichambo kuntutattoo imebadilika from ua hadi tembele,si kwa kusinyaa vile
We zambi huna .....mbona unapenda kuhukumuHalafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mnawapima jamanKuna celebrity asiye na miwaya?
Wanapimwa kwa macho tu. Celebrities hawajatulia kabisa.Mnawapima jaman
Peleka macho yako hospital yatumike kupimia ukimwi.Wanapimwa kwa macho tu. Celebrities hawajatulia kabisa.
Unajitekenya afu unacheka mwenyeweSasa wakianza kuporomoka vipi wakati wameshaporomoka,hata huyo boss wao anachokiimba hakionekani amekuwa muuza karanga tuu
Post sent using JamiiForums mobile app
Kiremba na kanzu ni vazi la asili la mashariki ya kati ikiwemo nchi za kiarabu na sio vaZi la kiislam coz hata wayahudi wanavaa....usikariri,nyie ndo mkiona alama + unaita msalaba wakati yaweza kua ni alama ya jumlisha.Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Usihukumu usije ukahukumiwaHalafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah...Labda diet anashindia mafenesi...
KIMEO CHANGU