GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

Huyu hawezi kosa miwaya,ona alivyokongoroka.
Demu anapenda kukaa uchi uchi sijui ana shida gani. Halafu sura kama ya kwangu....bora ya kwangu ina ndonya imeboreshwa kidogo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa mikucha hiyo hiyo papuchi inaoshwaje daah

Post sent using JamiiForums mobile app


Unafikiri kwanini wanaambiwa kuwa wananuka? Haibu hii ilimkuta Wolper hivi karibuni na ndiyo wimbo wak kwa sasa, watu wakimuona tu wanamnyoshea kidole. Mimi nilivyomuona kwenye party fulani nilimsogelea kutaka kuhakikisha kama ni kweli ila demu wangu alikuwa mkali hakutaka nisogelee mtu ila yeye tu.
 
Yaani Giggy kaamua kuuondoa mtaji wake? ! Au ni maisha yamebana tako limeondoka lenyewe?! Loooh! ikiendelea hivi mwaka haumalizi atapotea mjini.
 
ila gigy mchafuuuuuuuuuu!
YANI MCHAFU CHAFUUU TUUUU!
sio kuwa anavaa nguo zina vumbi sijui masizi!
MCHAFU TUUUU YANI MCHAFU!
AH HATA SIJUI NIELEZEAJE UCHAFU WAKE!
 
Gigy alikua anapenda kalio lake..mhh sidhani kama kapungua kwa hiari! kuna kitu hakijakaa sawa.Kama nawaona mafisi wtakavyokua wanahahaa.
 
huyu ni mjasiliamwili eh....??
kwanini TRA isimpe machine ya EFD....?
 
~~~>>>Gigy Money kuna misumari ktk Ubongo wake hazijakaza vizuri.........

Sijajua kama ana wazazi huyu bidada!
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Zako umeziruka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Atakuwa aliugua sana,maana huyo hawezi kujikondesha kwa kupenda as anapenda sana kuonyesha makalio yake.Inaonyesha anapenda kunenepa.
Tayari mumeshampa miwaya .. dah wa bongo bana roho mbaya kama shetani.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hao BASATA(baraza la samaki tanzania) wanakaz gan?mbona huyo dada anajiachia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…