Mbuzi mmoja anatosha tu.
Mkuu tangu lini mfupa ulioliwa na mbwa ukawa na utamu?Atakufa na utamu wake
Kweli mkuuKama natoa 10-15m anatoa 20m....(ATM) niko tayari hata sasa. Lakini nikitoa hizo halafu tunaanza kungumika! Thubutuu! Haitoki hata mia. Nyie subirieni muda utasema, ataanza nata wa 5m baadae atasema yoyote leteni. Mtakuja kuniambia.
Inawezekana ikawa ni PROMO.Ukiona jamaa anaomba discount ujue hakuna muoaji hapo, anataka apige asepe zake.