Gigy Money akiri kumnyatia/kummendea Diamond

Gigy Money akiri kumnyatia/kummendea Diamond

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Akihojiwa hivi punde na You heard! Ya clouds FM na Soud Brown, Mwanadada mwenye msambwanda mkubwa Africa Mashariki na kati amesema anamnyatia Dangote. Kasema ni kawaida sana mtu kupenda na kuonyesha hisia zake.

Alipoulizwa mbona Chibu yupo kwenye mahusiano na mtu na haoni atayaharibu, kadai sio lazma hili litokee kwani wengi wanafanya hivyo. Alipoulizwa Siku hizi mbona anakoda kadai anatumia miti shamba ili kupunguza uzito.YOU HEARD!
 
Alishasema atakayempenda anampa yule samaki mkali baharini PAPA
Nampa Nampa Nampa Papa
in Giggy Money Voice
 
huyu gigy money ni kama sumaku.....hata huyo dai akijichanganya tu atanaswa....amuulize mwenzie wakili msomi nini kilimkuta.
hata mimi anaweza nipata akaze moyo tu
 
Back
Top Bottom