Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Sikujua kama siku hizi binadamu wa kike wanatumia OIL
 
Sitetei alichofanya Msando Ila kaa ukijua mkewe atasononeka lkn badaye maisha yataendelea kama kawaida.Ukishakunywa pia mzee Abdallah (kichwa cha chini) akishika hatamu,akili zote Huwa zinapotea.Majuto huja badaye.Mambo haya yapo sana.Kama umeolewa we subiri tu siku yakukute
 

Remember kuwa you women are from Venus, na Men are from Mars. So hutokuja kaa uelewe tunachokitetea kama wewe siyo mwanaume. Sisi wanaume tunajijua tulivyo.

Kama unabisha ajitokee mwanamke mzuri haswa kwa shape, sura nk. Kisha amfuate mwanamme unayeona anaheshimika amtongoze na ampe ofa ya free pussy. My friend, hapo heshima lazima itawekwa pembeni in long run.

Na wanaume wanaomponda msando katika hii thread wengi wao ni wanafki, i am sure most of them washawahi kuchepuka ama flirting na side chicks. Umkute kabisa mwanaume rijali, ana maisha mazuri, kuchombeza nje ni kawaida. Tunatofautiana tuu extent of flirting na kuchepuka. Huu ni ukweli mchungu kwenu wanawake.

Sema tuu mwenzetu huyu ni celebrity, na ishu hii imeenda viral katika social networks. Ila hapo hakuna kipya, yalianza hayo toka kwa delilla, Adam Na hawa, tukaja kumuona Clinton na fedheha aliyoipata etc.

Men golden rule: Dont snitch your fellow brothers.
 
Na hili ndilo kuu...status ya Msando sio wa kufanya uchafu ule tena na mshenzi Gigy!
Pole kwa mke wake,ningekuwa mimi huu ungekuwa mwisho wetu.

Kwa hiyo issue siyo kufanya uchafu. Issue ni kufanya na nani. Kwa hiyo kwa muono wako angefanya na nani uchafu huo unaouita uchafu ungekuwa mwanzo wenu.? [emoji16]
 


Kwa hiyo issue siyo kufanya uchafu. Issue ni kufanya na nani. Kwa hiyo kwa muono wako angefanya na nani uchafu huo unaouita uchafu ungekuwa mwanzo wenu.? [emoji16]
Maneno yooooote mnayoyasema mnakosa hekima ndogo sana... PRIVACY
Period
 
Kaka tatizo sio kuchepuka, sisi sote tunafahamu waume zetu wanachepuka ila tatizo ni aibu aliyoitia familia yake kwa kujirekodi na hatimaye imevuja, hii ni aibu na kwa bahati mbaya hata yeye mwenyewe amekili kua ni aibu!! Wanaume mjiheshimu hilo ndilo la muhimu jua mnaishi na jamii na jamii hiyo inaizunguka familia yako Mimi kama mwanamke tu baada ya kuiona ile video nimefadhaika sana,je kwa mke wa msando hali ikoje?!! Kwa video ile tu hata mkewe anaweza kudai talaka na kanisa au msikiti wakampa talaka yake
Na zaidi ya yote chochote mfanyacho mnaowaumiza ni watoto wala si mke wako.
 
Maneno yooooote mnayoyasema mnakosa hekima ndogo sana... PRIVACY
Period

Privacy kwani una uhakika source ya leak ni yeye.? He did the stuffs in private(car), na i am sure someone else leaked the stuffs in public na sitoshangaa mtu huyo akiwa ni mwanamke (coz mnajijua wenyewe akili zenu). So hii ni ajali kama ajali nyingine, there is no big issue kwa hili na Msando hapaswi kulaumiwa kiviiile.

Swali kidogo: Kwa hiyo kwako angefanya hayo katika privacy ingekuwa sahihi yeye kufanya hivyo.?
 

Mna uhakika kaivujisha yeye hiyo video.? Mna uhakika kajirekodi yeye hiyo video.? Kuvuja kwa video ni ajali tuu na bahati mbaya ninaamini. Msando ama married man hana akili hizo kuwa ajirekodi video kama hiyo kisha aiweke public. For what.? Na kama ikitokea akafanya hivyo anapoteza sifa mojawapo ya kuwa mume.

Ila kaonesha busara kaomba radhi. Na naimani si kuomba radhi kwa sababu ya kitendo, ni radhi kwa sababu ya issue kuwa public.


Kudai talaka ni jambo moja kupewa talaka ni jambo jingine. Hakuna kanisa linaloweza kuidhinisha talaka kutolewa kwa jambo kama hili.

Hii ishu ndogo sana, itaisha kwa mazungumzo tuu. Na maisha yatasonga.
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Madam ukikumbuka kama kila binadam si mkamilifu hutatia neno kwa alichokifanya msando maana yawezekana wewe unayemnyooshea mkono kuna unayoyafanya gizani mabaya bora hata ya msando, uzuri mwenyewe ameomba radhi kwa kilichotokea ukiendelea kumhukumu utakuwa na shida katika nafsi siyo bure
 
Mtu anayejiheshimu hawezi kushiriki kurekodi upuuzi kama ule, sasa ametupa picha kua Wakili ni mmoja wa Ma star wa Ngono ambao wanajificha ficha sura zao, Mungu ni wa ajabu sana kaamua kumuumbua hadharani.
Tunafahamu wanaume karibu wote wenye ndoa mnafanya hayo lakini usinidhihirishie kwa kujirekodi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…