gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Mwenye hyo video wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
When is defamation a defamation?
Eti unasemaje wewe? Labda iwe mkewe kaamua kuichukulia poa kama kawaida yetu wanawake, ila moja ya vifungu vinavyoruhusu kuvunjwa kwa ndoa ni Uzinzi, na alichokifanya msando ni zinaa chafu ya mbele ya camera, kamuulize mchungaji wako akwambie kama Uzinzi hauvunji ndoa!Mna uhakika kaivujisha yeye hiyo video.? Mna uhakika kajirekodi yeye hiyo video.? Kuvuja kwa video ni ajali tuu na bahati mbaya ninaamini. Msando ama married man hana akili hizo kuwa ajirekodi video kama hiyo kisha aiweke public. For what.? Na kama ikitokea akafanya hivyo anapoteza sifa mojawapo ya kuwa mume.
Ila kaonesha busara kaomba radhi. Na naimani si kuomba radhi kwa sababu ya kitendo, ni radhi kwa sababu ya issue kuwa public.
Kudai talaka ni jambo moja kupewa talaka ni jambo jingine. Hakuna kanisa linaloweza kuidhinisha talaka kutolewa kwa jambo kama hili.
Hii ishu ndogo sana, itaisha kwa mazungumzo tuu. Na maisha yatasonga.
Mtu anayejiheshimu hawezi kushiriki kurekodi upuuzi kama ule, sasa ametupa picha kua Wakili ni mmoja wa Ma star wa Ngono ambao wanajificha ficha sura zao, Mungu ni wa ajabu sana kaamua kumuumbua hadharani.
Tunafahamu wanaume karibu wote wenye ndoa mnafanya hayo lakini usinidhihirishie kwa kujirekodi
Na kwa bahati nzuri wanawake karibu wote kwenye ndoa tunalijua somo la mchepuko haliwaingii wanaume mlio wengi lakini Somo la kujiheshimu na kulinda privacy yako tunawaomba sana mlizingatie. Mnajua kwanini baadhi yetu hata tukiwakamata katika simu zenu hatupayuki kwa makelele!? Ni kwa sababu hatutaki kuwapa watu faida wayajue madhaifu yenu (yetu), sasa mkijirekodi kama hivi Vikitoka hadharani mnakua si tu mmejichafua Bali mmeichafua taswira nzima ya familiaKwa hiyo kosa ni kujirecord, kumradhi kwa hilo. Next time watakuwa wanafanya in privacy. Tutahakikisha no camera around. Katika hili tumepata funzo hili, ila hilo la kutochepuka/flirt. Nna uhakika somo halijaingia katika vichwa vya wanaume wengi.
Eti unasemaje wewe? Labda iwe mkewe kaamua kuichukulia poa kama kawaida yetu wanawake, ila moja ya vifungu vinavyoruhusu kuvunjwa kwa ndoa ni Uzinzi, na alichokifanya msando ni zinaa chafu ya mbele ya camera, kamuulize mchungaji wako akwambie kama Uzinzi hauvunji ndoa!
Kuhusu kujua kua anarekodiwa msando alikua anajua mbona anaifata kabisa na kuiinamia camera ya simu!! Tena anavyoonyesha amekubuhu pembeni kuna mdada anaonekana ndie anae warekodi lakini hajali kabisa ndo Kwanzaa anamimina kilaji. Unamtetea nn sasa,au na wewe ndio wale wale wa kujirekodi? Kama ni hivyo jiandae na yako itavuja
Na kwa bahati nzuri wanawake karibu wote kwenye ndoa tunalijua somo la mchepuko haliwaingii wanaume mlio wengi lakini Somo la kujiheshimu na kulinda privacy yako tunawaomba sana mlizingatie. Mnajua kwanini baadhi yetu hata tukiwakamata katika simu zenu hatupayuki kwa makelele!? Ni kwa sababu hatutaki kuwapa watu faida wayajue madhaifu yenu (yetu), sasa mkijirekodi kama hivi Vikitoka hadharani mnakua si tu mmejichafua Bali mmeichafua taswira nzima ya familia
Una akili chafu sana, kwaiyo wewe kwako kosa ni kwa aliyeivujisha lakini si kwa aliyeshiriki kujirekodi!?For my church, hata ukutwe na ukimwi mmoja wenu ndoa haivunjwi, sembuse kuchepuka. Sheria ya Ndoa ya kikristu kwa makanisa kongwe ni kwamba hakuna wa kuvunja ndoa ikishafungwa.
Hata kama alijua anarekodiwa, still point is hajaivujisha yeye. There is someone else responsible kwa kuvuja kwa hiyo video.
Yaani Mimi Jana nimelala na mfadhaiko mkubwa moyoni,nilifadhaika sana na bado siitamani ile video ipite machoni mwangu. Kwa kweli mke wa msando anamsiba mwanamke mwenzetuNajaribu kuvaa viatu vya mke wake vinanibana. Dunia simama nishuke.
Una akili chafu sana, kwaiyo wewe kwako kosa ni kwa aliyeivujisha lakini si kwa aliyeshiriki kujirekodi!?
Nampa pole sana huyo mwanamke wako wa kua anaishi na porn star ambae video yake haijavuja
Shukrani kwa wavujishaji na tunawaomba waendelee kuvujisha ili tuwajue wacheza ngono, na tunamuomba aachie part 2 yake
Oh sorry nilimaanisha mshauri wa ACT!! hee mkuu wengine siasa zimetupitia kando hahah
Nawaombea kwa M/Mungu wavujishaji waongezeke ili kukomesha tabia za waume za watu kujitoa ufahamu kichwani na kujivika ujingaHahahaa, mama hasira inatokea wapi tena.? Si tulikuwa tunajenda kesi hapa.? Nyinyi wanawake mmesema hamjashtushwa na kuchepuka, bali mmefedheheshwa na kujirekodi na kuvuja kwa video.
Sasa kwa kujirekodi, msando anakutwa na hatia. Ila kuvuja kwa video hana hatia. Na pasipo kuvuja sisi tusingejua kuwa kama hata alijirekodi. Wao wangebaki na video yao na kuendelea na maisha yao ya kila siku, nasi tungeendelea na yetu. Ila kwa kuwa kuna mvujishaji kaivujisha, issue imekuwa viral. Kwa hiyo wewe unamuona aliyevujisha hana hatia.?
Ni simple maths like that.
NB: Bahati mbaya sana mimi na camera huwa hatupatani. So hutokuja ona clip ikinihusu
Mwenzangu si umeona na ubuyu hapo juu kumbe hadi wanaume wenzie?
Nimeanza kufikiria mbali ule ukaribu alionao na akina Wema, Lulu n.k [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Kiukweli sijui ana hali gani.Maana zile show off za insta za kumsifia na hii video ndo maumivu kabisa.swali anafanya haya na wangapi? [emoji24] [emoji24] naanza kuamini Ile ya Kipindi kile na Lulu ilikuwa kweli...Tunajua wanaume wanacheat ila kinachoumiza ni kujua anacheat na flani tena si kujua tu yani nchi nzima imejua anacheat na nani tena kwa ushahidi[emoji17] [emoji17]Yaani Mimi Jana nimelala na mfadhaiko mkubwa moyoni,nilifadhaika sana na bado siitamani ile video ipite machoni mwangu. Kwa kweli mke wa msando anamsiba mwanamke mwenzetu
Alivyo papasa ku ustadiii[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sijui alitumia kifungu gani cha sheria[emoji125]Hata kama shemela, hii ni aibu kubwa sana!
Kumbe ndio maana jamaa anapenda kuwaganda hawa wadada wa mjini?